Monday, 5 October 2015

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI Mgombea URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM.

Mimi ni DKT. JOHN POMBE MAGUFULI Mgombea URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM.
Naomba KURA kwa kila MTANZANIA mwenye hofu ya MUNGU anayechukizwa na UFISADI, TAMAA na UCHU wa MADARAKA.
Dhamira yangu ni kuifanya Tanzania yenye NEEMA na MAENDELEO kwa watu wote bila kujali DINI, KABILA, UKANDA wala CHAMA.

Ewe Mwananchi nichague DKT. JOHN POMBE MAGUFULI kuwa Rais wako wa awamu ya 5.
Tuma ujumbe huu kwa watu 100 tu nitawalipa UTUMISHI uliotukuka na wa kumpendeza MUNGU.
"HAPA KAZI TU"

0 comments: